Submit your video

Christian

Christopher Mwahangila SitabakiWatch at the source

Released2026 DirectorDinno Plays134,605 Length5:20HD

Kuna wakati Mungu anapokuita uondoke mahali ulipo, huwezi kubaki tena!

SITA BAK ni wimbo wenye ujumbe mzito wa kiroho unaotukumbusha kuwa kuna hatua mpya ambazo Mungu anataka tufike. Usikubali kukata tamaa, usikubali kurudi nyuma, na usikubali kubaki pale ambapo Mungu amekuita uondoke!

🎧 Sikiliza wimbo huu hadi mwisho, tafakari ujumbe wake na umruhusu Mungu azungumze na moyo wako kupitia huduma ya Christopher Mwahangila.

Kama wimbo huu umekugusa, bonyeza LIKE, acha COMMENT, SHARE na SUBSCRIBE kwenye channel ili usikose nyimbo nyingine za kumtukuza Mungu.

📢 Mtumie mtu unayejua anahitaji kusikia ujumbe huu leo. Huenda wimbo huu ukawa faraja na nguvu kwake!

Mungu akubariki unapoendelea kufurahia huduma hii ya injili.

Available on all Digital platforms:

Music Production Credits:

Director
Dinno
Producer
Meshakey

Up next

Plays automatically