Submit your video

Christian

Obby Alpha Ft Christopher Mwahangila NITETEEWatch at the source

ReleasedFeb 13, 2025 Plays2,515,461 Length5:00HD

ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.

Wimbo huu ni maalumu kwa wote tunaoliitia jina la Bwana na kuyaamini matendo yake bila kuchoka.Maombi yatajibiwa haijalishi ni muda kiasi gani utapita ila Yeye Yesu ni muaminifu sana.

Tuimbe na kuomba pamoja AMEN 🙏🏼.

Up next

Plays automatically