Submit your video

Christian

The Redeemed Tz NANI ASEMEWatch at the source

ReleasedMar 6, 2026 DirectorJosh Shot It LabelThe Redeemed Tz, 2026 Plays123,776 Length4:53HD

Wimbo huu ni ushuhuda wa watu waliopitia nyakati ngumu sana… lakini bado wamesimama. Ni sauti ya mtu aliyewahi kuanguka, lakini Mungu alimwinua.

Kuna wakati tuliona hakuna njia. Kuna wakati tulihisi tumefika mwisho. Lakini Mungu alituwekea ngao na kutuvusha salama.

Kama si Yeye kutulinda, kama si Yeye kutuvusha, kama si Yeye kutushika tulipokuwa tunaanguka…

🎧 Tulia kidogo, sikiliza. 🎥 Tazama kama ni ushuhuda wako pia. 🙏 Mshirikishe mtu anayehitaji kukumbushwa kwamba Mungu bado anatenda.

🔔 Tufuatilie: 🎶 Instagram: @redeemed_tz 🎥 YouTube: @theredeemedtz 📌 TikTok: The Redeemed Tz 📱 +255 657 795 852 📞 +255 766 580 513

Director
Josh Shot It
Label
The Redeemed Tz, 2026
Song title
NANI ASEME
Composer
Ericah Mniko
Mastering
Betese Pro
Audio production
Icon Sound
Production house
Metra Digital

Up next

Plays automatically